Friday, June 19, 2015

HATARI:Wanamuziki wa P-SQUARE Peter and Paul..Wajitetea Kwanini Hawahudhurii Ibada za Kanisani Toka Mwaka 2007

Imebainika ya kwamba Mastaa wa wa Music
Toka Nigeria Peter and Paul Toka mwaka 2007
walipoanza kuwa maarufu hawahudhurii ibada
za kanisani jumapili...Wakijitetea Baada ya
Kuulizwa Swali hilo P-square wamesema :
Kila walivyokuwa wakienda kanisani watu
huwatazama na kuwafatilia kuliko kufatilia
ibada na sala kitu ambacho kinatufanya
tujisikie kama tunaharibu ibada za watu
...watu wote tuko sawa mbele ya Mungu ndio
maana sio sahihi kufanya watu waache sala
sababu yetu