HUDDAH MONROE ALETA MAFURIKO MTANDAONI...CHEKI MAMBO HAPA
Huddah Monroe mmoja wa ma boss lady Afrika Mashariki,Ana umri wa miaka 22 mambo aliyopitia ni zaidi ya umri wake.Amewahi kushiriki mashindano ya Big Brother Africa.Ameshawahi kua mtumiaji madawa ya kulevya,tetesi za usagaji na kujiuza.