Friday, June 12, 2015

Mashabiki wa Ali Kiba wajazana page ya MTVAfrica

Wakati utajaji wa majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa ukiendelea, katika hali isiyo ya kawaida mashabiki wa Ali Kiba wameonekana kuzagaa kwa wingi kwenye ukurasa wa Television hiyo pendwa kupendekeza wimbo wa Mwana.

Hata hivyo juhudi zao hazikuzaa matunda kwani msanii huyo hajaambulia hata category moja kutokana na kile kinachosemekana kutotambuliwa na MTV. Msanii Diamond Platnumz ametajwa kuwania category 3 hadi sasa.
Tazama hapa walivyokuwa wanaandika kwenye page ya MTV: