Unaweza ukashindwa kuamini kuwa kuna watu wana miaka zaidi ya 3 wapo kwenye Acount ya Instagram lakini hawaja wahi kufikisha Followers hata 50000 lakini hii ni kali zaidi kutoka kwa Mtoto wa Diamond Platnumz Tiffah, ambaye amezaliwa Jana.
Ni masaa machache tu tangu Msanii wa muziki Diamond Platnumz amfungulie Acount ya Instagram mwanaeTiffah, na kupost post mbili, hadi kufikia sasa acount inacheza na Followers 41.4K nakuendelea