I promise CCM na Magufuli wakishindwa Urais, mimi nitahamia Liberia kuongozwa na Rais Mbebezzz huyu hapa chini U know tena live!! - Le Mutuz Nation
CCM NA MAGUFULI TUTASHINDA SAA TATU ASUBUHI TAREHE 25/OCTOBER/2015 KWA SABABU:- Utafiti wa Redet kutoka Chuo Kikuu cha Dar unaonyesha kwamba katika Uchaguzi wa Mwaka 2005 CCM ilikuwa na Matawi ya CCM Taifa zima 657,000 na kwamba Mwaka huu CCM ina Matawi 955,000 katika Taifa zima na kukifanya kuwa Chama chenye Mtandao Mkubwa na rasmi katika Bara zima la Africa. Kwa mujibu wa Katiba ya CCM kila Tawi linatakiwa kuwa na Viongozi 16 ambao wote wakilipia kadi zao na kuwa hai ukiwazidisha mara 955,000 na the fact kwamba lazima wote wataipigia kura CCM utapata kura za Rais wa CCM Millioni 15,280,000 now wanachama wengine wa CCM nao wakipigia CCM kama ilivyokuwa kwenye Serikali za Mitaa Mwaka 2015 CCM ina uhakika wa 73-74% ya kura zote, ndio maana watafiti wote wa kisayansi Chuo Kikuu cha Dar wanaamini CCM na Magufuli watashinda tena Asubuhi sana
Saa Tatu Kamili siku ya Tarehe 25/10/2015. - Le Mutuz Nation
Mgombea urais wa CCM Magufuli anayefagiliwa na mahesabu yote ya kisayansi hapa mjini kusindaa uchaguzi huu Saa Tatu Kamili Asubuhi siku ya Tarehe 25/10/2015, hapa akiwa Dodoma majuzi live!!