Wednesday, September 23, 2015

ANGALIA PICHA!! WACHAWI WATATU WADONDOKA NA UNGO WAKISAFIRI ANGANI MUDA HUU LIVE

Watu wanaodaiwa kuanguaka kwa imani za kishirikina wilayani Wanging'ombe wakiwa kwenye gari la polisi.Watu Watatu ambao hawajajulikana majina yao jinsi ya kiume wamekutwa wameanguka katika kijiji cha Utiga wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe kwa imani za kishirikina.

Watu hao wakiondolewa na polisi eneo la tukio
Watu hao ambao hawajafahamika mara moja wanakotoka wanadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Songea Mkoani Ruvuma lakini walipofika katika kijiji hicho ndipo walipoanguka.

Picha na Gabriel Kilamlya, Njombe