Saturday, October 3, 2015

List ya wachezaji wanaowania Ballon d’or 2015 imevuja? haya ndio majina 59 ya wachezaji wanaotajwa…

Hii ni moja kati ya stori kubwa zilizoingia katika headlines October 2 katika vyombo vingi vya habari za michezo duniani, stori kutoka katika mtandao wa 90min.com umeripoti kuvuja kwa majina 59 ya wachezaji watakaoshiriki katika tuzo ya mchezaji bora wa Dunia2015/2016.
Hii ni list kutoka katika mtandao wa 90min.com ambapo inaidaiwa kuvuja kutoka katika gazeti la Hispania Mundo Deportivo, licha ya kuwa FIFA bado hawajatangaza majina ya wachezaji watakaowania tuzo ya Ballon d’or 2015, Hii ni list ya majina 59 ya wachezaji wanaotajwa kuwania tuzo ya Ballon d’or 2015. Majina haya yaliyotajwa mshindi atatangazwa January 11 2016 Zurich Uswiss.
ZURICH, SWITZERLAND - JANUARY 12: Cristiano Ronaldo of Portugal and Real Madrid receives the 2014 FIFA Ballon d'Or award for the player of the year during the FIFA Ballon d'Or Gala 2014 at the Kongresshaus on January 12, 2015 in Zurich, Switzerland. (Photo by Philipp Schmidli/Getty Images)
Barcelona: Claudio Bravo, Javier Mascherano, Andres Iniesta, Lionel Messi, Ivan Rakitic, Neymar, Luis Suarez. Real Madrid: Gareth Bale, Karim Benzema, Sergio Ramos, Cristiano Ronaldo, Luka Modric, James Rodriguez, Toni Kroos. 
Juventus: Giorgio Chiellini, Paul Pogba, Alvaro Morata.New York City: Andrea Pirlo.Boca Juniors: Carlos TevezBayern Munich: Arturo Vidal, Robert Lewandowski, Arjen Robben, David Alaba, Thomas Muller, Manuel NeuerManchester City: Wilfried Bony, Yaya Toure, Sergio Aguero, Nicolas Otamendi, Kevin de Bruyne.
ap_lionel_messi_ballon_or_130107_wg-615x345
Chelsea: Diego Costa, Willian, Thibaut Courtois, Eden HazardParis Saint-Germain:Edinson Cavani, Zlatan Ibrahimovic, Javier PastoreManchester United: Wayne Rooney, David de Gea, Memphis DepayArsenal: David Ospina, Alexis Sanchez.Atletico Madrid:Antoine Griezmann, Jackson Martinez.
Tottenham: Son Heung-min, Harry KaneMilan: Carlos BaccaLA Galaxy: Giovani dos Santos.Liverpool: Philippe CoutinhoBournemouth: Christian AtsuCorinthians: Paulo Guerrero.Hoffenheim: Eduardo VargasInternazionale: Gary MedelLyon: Alexandre LacazettePSV Eindhoven: Andres GuardadoRiver Plate: Carlos SanchezSwansea:Andre AyewSwindon Town: Massimo LuongoLeicester City: Shinji Okazaki.