Ripoti kutoka Dodoma leo asubuhi ni hii ya ajali ya gari la mafuta lililodondoka na kulipuka katika eneo la Kibaigwa ambapo hazikupatikana taarifa rasmi kuhusu ajali yenyewe kwenye upande wa Majeruhi au vifo ila millardayo.com inaendelea kufatilia.
millard ayo