Nguli katika tasnia ya filamu hapa nchini, Vincent Kigosi maarufu kwa jina la Ray, miezi michache iliyopita alifanyiwa mahojiano na eNewz ya EATV nakujibu kuwa uweupe alio nao kwasasa hautokani na mikorogo kama watu wanavyo dai bali huletwa na kunywa maji mengi pamoja na mazoezi kitu kilichosababisha Tanzania kumfahamu Ray zaidi.
Ukiitizama picha hiyo hapo juu, Nikweli Ray anafanan rangi na sakafu hiyo? Dondosha maoni yako hapa chini.