JOKATE: MODEL WA KIBONGO AMBAYE ANASIFIKA KWA KUTOSUMBUA WAKATI AKIWA LOCATION KUPIGA PICHA
hakika jokate ni modo wa ukweli africa na east africa kwa ujumla hivi karibuni tumefanikiwa kupata picha zake kali ambazo amewahi kupiga katika majalida mbali mbali, pia madirecta wamekuwa wakimsifia kwamba katika modo tz ambao hawasumbui katika swala zima la kuweka pozi anazoelekezwa na kamera man