Tuzo nyingine kutoka Uganda imekabidhiwa kwa Diamond Platnumz, ni tuzo za Hiphop Music za nchini Uganda.
Kwenye kipengele hiki Diamond alikuwa anawani tuzo hii na wasanii kutoka Kenya, Uganda, na Rwanda. Bebe Cool ndio ameshinda tuzo nyingi zaidi, ameshinda sita.