Monday, February 9, 2015

Pichaz za matukio yote kwenye sherehe za utoaji wa Tuzo za GRAMMY 2015 MAREKANI..

08-sam-smith.w529.h352.2x
Sam Smith
Usiku wa FEB 8 umeweka historia ambayo itachukua nafasi yake kubwa kwenye music industry Marekani, Tuzo za  Grammy 2015 zilikuwa LIVE on air mtu wangu usiku wa jana, performance za nguvu kwenye stage pamoja na picha kali za mastaa hao ndani ya Ukumbi wa Staples Centre, Los Angeles, Marekani.
Baadhi ya mastaa waliofanya burudani kwenye stage ni pamoja na MadonnaGwen StefaniAriana GrandeKaty PerryLady Gaga,  Chris MartinSam SmithMary J. Blige,BeyonceJohn LegendPharrell WilliamsStevie Wonder na Usher Raymond, huku Collabo iliyotia fora ni ile ya ngoma mpya kabisa, Rihanna feat. Kanye West na Paul McCartneywaliyoimba wimbo wa FourFiveSeconds.
Upande wa tuzo Sam Smith ameongoza kwa kuchukua Tuzo nne akifuatiwa na Beyoncena Pharrell Williams ambao waliteuliwa kuwania vipengele sita kila mmoja.
Na hii ndio List nzima ya washindi wa Tuzo za  Grammy 2015.
Record of the Year 
Sam Smith – Stay With Me 
Song of the Year 
Sam Smith – Stay With Me
Album of the Year
Beck - Morning Phase 
Best New Artist 
Sam Smith
Best Pop Duo/Group Performance 
A Great Big World With Christina Aguilera – “Say Something”
Best Traditional Pop Vocal Album 
Tony Bennett & Lady Gaga - Cheek To Cheek
Best Pop Solo Performance 
Pharrell Williams –Happy
Best Pop Vocal Album 
Sam Smith - In The Lonely Hour