Sunday, June 22, 2014

BAADA YA TWITTER FACEBOOK NAO WAHALALISHA ACCOUNT YA DIAMOND

Siku moja kabla ya Tuzo za Mama [Mtv Africa Music Awards] mtandao wa
Twitter ulihalalisha account ya Diamond ya Twitter na sasa Facebook pia wamehalalisha account ya Diamond ya Facebook. Kwa sasa Diamond atakuwa miongoni mwa watu maarufu Tanzania waliohalalishwa na facebook kama mtangazaji Salim Kikeke na Flaviana Matata.