Friday, July 18, 2014

AUDIO: ALLY KIBA AFUNGUKA KUHUSU UGOMVI WAKE NA DIAMOND..MSIKILIZE HAPA

Mtaani kumekua na stori nyingi sana zinazowahusisha mastar kutoka Kigoma Ally Kiba pamoja na Diamond Platnumz na maneno mengi yamekua ni kuhusu uhusiano wao kama wanamuziki. 
 
Wengi wao wanasema kuwa Ally Kiba na Diamond Platnumz wana Bifu na kama lipo watu wanatamani kujua chanzo cha hilo bifu na kwa sasa kama wana mpango wowote wa kufanya kazi pamoja.
 
Ally Kiba kapatikana na kuongea  kauli  hizi 4.
  1. Mimi nipo okey sana
  2. Sifikirii tu kuongea nae basi lakini nipo okey
  3. Sijawahi kufikiria kwa sababu kuwa okey na mtu ni pamoja na kuzungumza kuwa karibu yaani sijawahi kufikiria
  4. Mimi nipo okey na sina chuki,sana sana nampongeza sina chuki simaindi na nipo okey.
kiba
 
Bonyeza play kumsikiliza Ally Kiba