Monday, July 21, 2014

COUTINHO AMFUNIKA JAJA MAUZO YA JEZI YANGA SC

Wachezaji wa Kibrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho kushoto na Santana Santos 'Jaja' kulia wakiwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo kushuhudia mechi kati ya Tanzania na Msumbiji kuwania tiketi ya Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON) mwakani nchini Morocco. Tayari wauza jezi za timu hiyo wameingiza sokoni jezi ya Coutinho. Picha ya chini ni muuza jezi akiwa na jezi ya Coutinho Uwanja wa Taifa leo.