Thursday, July 3, 2014

DIAMOND AZIDI KUWA MAARUFU: BAADA YA BET KUISHA SASA NI NOMINATED KWENYE CATEGORY 5 ZA TUZO ZINGINE ZA AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS (AFRIMMA)...SOMA ZAIDI

Photo: Baada ya BET tunalejea tena nyumbani Afrika,nipo nominated kwenye Tuzo za  #Afrimma awards ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) ,zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july. Nipo nominated kwenye category 5. Best male east afrika Song of the year(number1). Video of the year (number 1) Best collabo (nymber1 rmx)ft davido And Best afrikan artist of the year .kuvote fuata link hii  http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/ Kisha vote kwenye kila category niliyopo.Ahsanteni
 


DIAMOND ASEMA
"Baada ya BET tunalejea tena nyumbani Afrika,nipo nominated kwenye Tuzo za #Afrimma awards ( AFRICAN MUSIC MAGAZINE AWARDS) ,zitakazofanyika jijini Texas,tarehe 26 july.




Nipo nominated kwenye category 5.
Best male east afrika
Song of the year(number1).
Video of the year (number 1)
Best collabo (nymber1 rmx)ft davido
And Best afrikan artist of the year
.kuvote fuata link hii http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
Kisha vote kwenye kila category niliyopo.
Ahsanteni
  — in Los Angeles, CA, United States."