Thursday, July 3, 2014

HUU NDIO UJIO MPYA WA CHRIS BROWN BAADA YA KUTOKA JELA,ITS A BRAND NEW SONG “NEW FLAME” AKIWA AMEMSHIRIKISHA RICK ROSS NA USHER..SHUKA NAYO

Baada tu yakutoka jela, akiwa amemaliza kutumikia kifungo chake, amekuja kwa kasi kama vile amepania flani kurudi kushikilia chati katika nafasi ya juu, hasa baada ya kupotezwa na wasanii wengine
kwa kipindi alichokuwa hayupo kwenye ulimwengu huu wa muziki huku uraiani, ni moja ya nyimbo kali ambazo zinamrudisha tena Chris Brown kwenye mstari, Its a brand new song “New Flame” akiwa amemshirikisha Rick Ross na Usher.


WAWEZA CHECK PIA >>HAPA<<