Sunday, July 20, 2014
IBRA KADABRA AANZA KUPIGA GYM RASMI KUWEKA MISULI SAWA
Kujiweka fiti; Mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic ameposti picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akifanya mazoezi gym kujiandaa na msimu mpya katika klabu yake, PSG ya Ufaransa.
Newer Post
Older Post
Home