‘Hahaha ilikua mwaka 2003/2004 wakati nimetoa wimbo wa kazi yake mola alituita promota mmoja ambaye hivi sasa hivi ni marehemu anaitwa Mnomba,nakumbuka nilienda mimi na babu Tale baadae tukakutana na Dudubaya huko’ http://jijiletuleo.blogspot.com/2014/07/si-kila-mwanamke-anastahili-kuwa-mke.html#ixzz36lDFFpew
‘Tulikuwa tuna enjoy maana hakuna mtu aliyekua anajua kama haya ni maisha show hiyo ilifanyika Triple A,malipo makubwa niliyowahi kulipwa ni mwaka jana 2013 kwenye show za vinywaji baridi nililipwa Milioni 38 kwa show 5′
‘Mkataba aliusaini Babu Tale nikashangaa Babu Tale amekuja akaja katoa hela akasema hela hizi hapa tugawane ni za show zako 5 ilikuwa mwezi wa kwanza nakumbuka’.
Madee kwa sasa kaachia wimbo wake mpya unaitwa Ni sheeda ambao umefanyika kwa Marco Chali.