Sunday, July 20, 2014

MCHEZAJI KIBONGE ZAIDI DUNIANI ALIVYOWAHENYESHA CHELSEA JANA

MCHEZAJI kibonge zaidi duniani, Adebayo Akinfenwa, alicheza soka ya kuvutia timu take AFC Wimbledon ikifungwa kwa tabu na mabao 3-2 Chelsea jana.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32, hakufunga dhidi ya timu hiyo ya Ligi Kuu England, lakini aliganya vitu babu kubwa.
Chelsea ilinusurika kulala, ikiwa nyuma hadi zikiwa zimebaki dakika 16- kutokana na kazi nzuri ya 'mwili nyumba' au The Beast' Akinfenwa.
Chini ya ulinzi: Adebayo Akinfenwa akidhibitiwa na Nahodha John Terry
Powerhouse: The AFC Wimbledon forward put in an excellent display against Chelsea
Mwili nyumba akipambana na wachezaji wa Chelsea
Battler: Akinfenwa challenges for the ball with Chelsea's Marco van Ginkel
Akinfenwa akigombea mpira na Marco van Ginkel wa Chelsea
Wrestler: And fights for possession with Oriol Romeu
Hapa anapambana na Oriol Romeu