Saturday, July 26, 2014

MSANII WA BONGO FLEVA BARNABA ADAIWA KUMLA URODA BEKI 3 WA WEMA SEPETU

barnaba

July 25 Barnaba ametangaza kuwa ndiyo siku atakayotoa video yake ya Wahaladeeambayo imetengezwa kwenye ardhi mbili ya Tanzania na Kenya,Soudy Brown leo kaongea nae kuhusu msichana anayesemekana mpenzi wake kusimamishwa kazi alikokuwa anafanya kazi nyumbani kwa Wema Sepetu.