Saturday, July 26, 2014

Nick Minaj Aanika utamu wake katika Cover la Wimbo wake mpya “Anaconda’

Nicki Minaj ni miongini mwa wasanii wa kike ambao hupenda kutengeneza attention na kiki kubwa kabla kazi yake kutoka na kuingia mitaani.
 
 Sasa jipya ni kuhusu cover la wimbo wake mpya “Anaconda”. Picha ya cover hili inamuonyesha Nicki akituonyesha umbolake kwa nyuma huku akiwa amevalia nguo ya ndani aina ya g-string, bra ya michezo na Jordans miguuni.
nicki
 
Kazi mpya inatoka Jumanne ya July 28.