Mwezi March mwimbaji huyo wa ‘Can’t remember to forget you’
 alitajwa kuwa ‘most-liked musician on Facebook’ kwa kumzidi
 kidogo Rihanna. Wakati huo alikuwa na likes milioni 86.3.
Kusheherekea mafanikio hayo Shakira amepost video katika akaunti
 yake ya facebook akiwashukuru mashabiki wake.
“That is incredible, Thank you so much for your support, for your 
loyalty, for your love. It’s really unbelievable. Thank you so much.”
