Wednesday, July 23, 2014

Sugu 'Nitaendelea Kupigana Bungeni Kama CCM itaendelea Kunisakama Nikiwakilisha Matatizo ya Watanzania'


Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema) Joseph Mbilinyi maarufu kama 'SUGU' amesema ataendelea kupiga mtu ngumi bungeni kama Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kumsakama wakati akiwakilisha matatizo ya Watanzania ili yapatiwe ufumbuzi.