
Baada ya tuzo za BET Davido alielekea Rwanda ambapo alienda kufanya show kwenye jukwaa moja na wasanii wa nchini Rwanda. Show ilifanyika kwenye uwanja wa mpira na kuingiza watu zaidi ya 60,000. Hizi ni picha za Davido akiwa jukwaani.

Photo credit : inyarwanda.com