Saturday, August 16, 2014

UTHIBITISHO HUU HAPA:HII NDIYO AINA YA UTAPELI HUKO INSTAGRAM NA JAMBAZI HILI...LATAPELI KWA KUTUMIA JINA LA VIDEO QUEEN HUYU....KUWENI MAKINI


                          Kimdollie Mdollie


Pichani ni video queen ambae utaweza kumuona kwenye video ya MABESTE na video nyengine kibao

kuna haka kamchezo kanaendeleaga instagram kule kakuandikiana namba za simu katika picha kisha mnaambiana mtafutane whatsap sasa kuna huyu mwanaume ila anajifaya mwanamke hana kazi yakufanya ila kazi yake kuangalia namba zilizopostiwa katika picha za warembo na kuzichukua kuanza kutangaza shida zake ndogo ndogo usipokuwa makini anakutangazia hata shida kubwa kubwa pia kwa bahati mbaya ama nzuri akakutana na mtoto wa mjini na akamshtukia enyi maada na makaka mnaoweka namba zenu huko instagram kuweni makini watu wanatafuta ajira humo kwa hizo namba zenu unweza kupitia mazungumzo a huyo tapeli na huyu 
namba inayoonyesha jina alilosajilia M-PESA
NA HAYA CHINI NDIYO MAZUNGUMZO YAO MWANZO HADI MWISHO

Baada ya kumjulisha tu kuwa yeye ni nani akaaga



siku ya pili baada ya tapeli kumpiga jamaa kirungu cha 10000 na kujifanya yeye ndoKimdollie Mdollie
  
jamaa akastuka akapiga namba ikawa aipatikani ndipo alipomvutia waya Kimdollie Mdolliena kumueleza



jamaa baada ya kumchana tapeli ukweli tapeli akaamua kumblock faster


SASA WEWE UNAETOA NAMBA HUKO INSTAGRAM KUWA MAKINI NA HUYU TAPELI ATAKUINGIZA KUSIKOINGIZIKA