![]() |
Uwoya |
Akizungumza na Vibe Magazine tz Uwoya anayetamba na filamu kibao amesema hapendi kuvaa kufuli na analichukia sana vazi hilo na huwezi kulikuta kabatini mwake.
Vibe Tz: Nguo gani ni vigumu kuikuta kwenye kabati lako?
Uwoya: Chupi – sipendi kabisa hilo vazi.