Friday, September 12, 2014

AJALI TENA:BASI LA SUPER FEO NA UPENDO KUTOKA DODOMA YAPATA AJALI KWA KUGONGANA MUDA HUU

 
Basi la kampuni ya Super Feo likiwa limegongwa kwa nyuma na basi la upendo, mabasi yote yanafanya safari kutoka Dodoma kwenda iringa (upendo) na super feo (Songea) . Taarifa zaidi