Saturday, September 13, 2014

ALICHOKIANDIKA STEVE NYERERE KUHUSU KUJIUZULU UONGOZI BONGO MOVIE.

mksKupitia mtandao wa picha yaani Instagram aliyekuwa Rais wa Bongo Movie Unity,Steve Nyerere  leo ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo kwenye klabu hiyo ya Bongo Movie huku akishindwa kuweka sababu iliyomfanya kujiuzulu.
nyyerereKatika maelezo yake chini ya picha yake ameandika>>’Napenda kuwashukuru ndugu zangu wote wasanii wenzangu kaka zangu mama zangu rafiki zangu mimi pamoja na family yangu’
‘Nimeamua kujiuzulu uongozi wa Bongo Movie nabaki kuwa mwanachama wa kawaida nina imani tulifurahi pamoja tukahudhunika pamoja na daima tutakuwa pamoja’.

nyerere2