Monday, September 29, 2014

BAADA YA WEMA KUZIPONDA SIMU ZA TECNO NA HUAWEI SASA ZIMEKOSA SOKO HUKO MADUKANI

Yaani jamani sio siri Wema ndio kila kitu kwa wadada walio wengi Dar es salaam baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena. Nina ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya simu ameshangazwa na maneno ya wateja hasa akina dada wakisema tupe simu aina yoyote lakini si alizoponda madam akauliza ndo nani mpaka iwe ivi ! maana angekuwa mmoja ungesema ana lake jambo! Nimeamini ndo mana makampuni makubwa kama Airtel wanamtumia kwa sababu ana kitu cha ziada. Ndani ya lisaa biashara inadoda ? WEMA nitakukumbuka DAIMA no one!!! sijui ana kitu gani jamani nyota yake na kali sana!!