Sunday, September 7, 2014

DIAMOND ABANWA NA MAMISS TEMEKE AFRIKA KUSINI..DAAH MTOTO NI MKALII AISEE JIONEE MAPICHA

Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul (Diamond), akiwa na mshindi wa kwanza wa Redd's Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu (kushoto) na mshindi wa pili wa mashindano hayo, Salma Saleh walipokutana nchini Afrika Kusini, ambako washindi hao wamekwenda kununua mavazi ya kuvaa siku ya mashindano ya Miss Tanzania.