Linex Sunday Mjeda siku si nyingi anatarajia kuachia wimbo wake mpya na wa kwanza kwa 2015, aliomshirikisha Diamond Platnumz.
Tayari uchukuaji wa picha za video za wimbo huo uitwao ‘Salima’ umeanza chini ya muongozaji Adam Juma (AJ).
Kupitia Instagram Linex ameshare picha na kuandika:
“Nimeamka mapema Sunday thinkn about Salima vdeo soon ntakua Location leo tena nichukue nafasi hii pia kuwashukuru watu kwa kuendelea kusupport na kunipa moyo wa kumaliza kazi hii bila kuusahau uongozi wa @diamondplatnumz @babutale @salaam_sk @mkubwafella kwa kua upande wangu pia kufanikisha hili cc @wcb_wasafi @thev.o.a_officialpage Salima vdeo cumn soon”
Mrembo aliyecheza kama ‘Salima’ kwenye video hiyo
video hapa chini