Wednesday, September 24, 2014

HUYU NDO MWANAMKE MWENYE SHEPU BOMBA KULIKO WOTE NCHINI KENYA

Kwa jina kamili anaitwa Lily Corazon Kwamboka, mrembo kutoka nchini Kenya. Hauwezi ukamaani kuwa binti huyu ni mwanasheria aliyehitimu masomo yake kutoka chuo kikuu cha Nairobi. Kama ndio mtu unakesi alafu demu ndio wakili wako basi hesabu ushindi. Umaarafu wake umetokana na umbo lake la kuvutia na baadhi za picha alizopiga kutoka studio ya buoart . Hizi ni baadhi ya picha za corazon :-
Corazon-Kwamboka-vibe-co-tz

Lili-Corazon-Kwamboka-Vibe-co-tz


Corazon-Kwamboka-2-vibe-co-tz
Corazon-Kwamboka-3-vibe-co-tz