Sunday, June 8, 2014

Matokeo ya Tuzo alizoshiriki Diamond kwenye MTV Africa Music Awards

8Tuzo ya mwisho alikuwa anawania Diamond kwenye MTV MAMA 2014 ilikuwa ni Best Male Artist lakini imechukuliwa na Davido. Leo  Diamond alikuwa anawania tuzo mbili lakini hajafanikiwa kushinda kati ya hizo.
Tuzo ya best collabo ilitangazwa awali na imechukuliwa na Uhuru ft DJ Bucks,Oskido,Professor,Yuri Da Cunha na wimbo wa Y-tjukutja.
Lakini sio mbaya watanzania wamefanya kazi kubwa kupiga kura na kutoa support  kwenye mitandao ya kijamii.
Capture