Tuesday, September 30, 2014
KIVUMBI LIGI YA MABINGWA KUENDELEA LEO..TAZAMA RATIBA YA MICHEZO YA LEO NA MUDA INYOPIGWA KWA MASAA YA KIBONGO
Kivumbi cha klabu bingwa Ulaya kinatarajia kuendelea leo katika viwanja mbali mbali zikikutanisha miamba tofauti tofauti ulaya.
Hii ndio michezo katika makundi tofauti tofauti itakayopigwa leo
Newer Post
Older Post
Home