KUTANA NA PICHA ZA MTOTO WA RAISI KUTOKA KENYA NGINA KENYATTA HUYU HAPA.
Mtoto wa Raisi kutoka Kenya anayejulikana kwa jina la Ngina Kenyatta akiwa ni mtoto wa Raisi kutoka Kenya Uhuru Kenyatta,kutokana na uzuri alionao anaweza kuingia kwenye list ya watoto wa maraisi barani Africa wazuri zaidi zitazame picha hizi