Friday, September 12, 2014

MKANDA WA NGONO WA IGGY AZALEA KUUZWA KWA KAMPUNI YA VIVID ENTERTAINMENT

una mkanda wa ngono wa rapper Iggy Azalea na mpenzi wake wa zamani unauzwa kwa kampuni maarufu ya video za mambo hayo.

Wanasheria wa Iggy Azalea wamedai kuwa ni kweli msichana anayeonekana kwenye video hiyo ni Iggy lakini huenda alikuwa na miaka chini ya 18 wakati akishoot tape hiyo. Mkanda huo unauzwa kwa kampuni ya video za ngono, Vivd Entertainment. 
 
Wanasheria wa rapper huyo wameuambia mtandao wa TMZ ni wazi kuwa mpenzi wake wa zamani anataka kumchafulia jina ama kulipiza kisasi. Pia wamedai kuwa video hiyo ilirekodiwa bila ridhaa ya rapper huyo ama hakuwa akijua anarekodiwa.
 
Awali kambi ya Iggy ilikanusha kuwa msichana kwenye tape hiyo si yeye.