Katika Picha ni Michael Jaja na Mwanamke aliyekuwa akimpa jeuri (Shuga mami) wakila bata Dubai.
Baada ya mwanamke huyo kumwambia waachane kutokana na ujio wa mume wake huyo, Jaja alitishia kumuua na kujiua kama ataachwa kutokana na kufikiria kurudia katika hali yake ya msoto kama zamani, habari zinasema kwamba walipokea taarifa za mtu kujiua kwa kitu kinachodhaniwa ni bastola na ndipo ripoti za polisi zilipobainisha kuwa aliyekufa alikuwa ni Michael jaja na hata baada ya mwanamke yule alipoenda kutoa salamu za pole kwa mama aliyetambulishwa kuwa ndiye mkwe wake aliambiwa kwamba alidanganywa na kijana huyo, hii sio mara ya kwanza kwa vijana wa Nigeria kuamua kujiua kutokana na mikasa kama huu uliomtokea Jaja.