Sunday, September 28, 2014

VERA SIDIKA SASA SURA YAANZA KUBOBOJOKA BAADA YA MKOROGO KUDUNDA


Habari zimeendea Kenya kuwa yule dada aliyezungumziwa sana kwa kujichubua ngozi na kuwa mweupe hali si swari kwani ngozi ya uso kwa sasa imeanza kuporomoka kama ilivyokuwa ya michael J, Inasemekana ili kutoka nje ni lazima ajipake foundation nyingi ili kuweka sawa , Angali hizo picha utafikiri amejipaka Unga usoni