Monday, September 29, 2014

WASTARA ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI’ YAKE KWA SHAMRA KIBAO

Keki iliyoandaliwa kwa ajili ya Wastara.Meneja wa Wastara, Bondi Bin Sinan, akimpa zawadi ya kuzaliwa kwake.Wastara akiwa na mwanaye wa pili aitwaye Farees.
Ndugu na marafiki wakiwa kwenye zulia jekundu.
Msanii Halima Yahaya ‘Davina’ akiwa kwenye pozi.Wasanii wa Bongo Muvi, Vanitha Omari, Jacob Stephen (JB) na Halima Yahaya ‘Davina’ wakijiandaa kufungua shampeni.
Wastara na timu yake wakicheza muziki.
Wasanii wa Bongo Muvi wakiwa kwenye pozi.
Nisha (wa pili kulia) akipozi na washikaji zake.
Msanii Stanley Msungu, mwimbaji wa taarabu Amigo na Wastara wakiwa pamoja.
  Msanii Jacob  Stephen ‘JB’ akimkabidhi msanii Wastara zawadi ya tuzo ya Super  Woman iliyotolea na Team Wastara.
  Msanii Wastara akiwa na tuzo yake ya Super Woman.
Msanii Eshe Buheti akiwa kwenye chakula. 
MSANII wa filamu,  Wastara Juma, amesherehekea siku yake ya kuzaliwa jana katika ukumbi wa Dar West Park,   ulioko Tabata jijini  Dar es Salaam.  Sherehe hiyo iliyohudhuriwa na mastaa kibao kama JB, Davina, Ray, Hans, Chilo, Dino na wengine wengi,  ilifana kwa watu kula na kunywa sana.
Aidha Wastara alisherehekea  na msanii mwenzake, Stanley Msungu, ambaye naye alizaliwa tarehe 27 Septemba.