Monday, October 13, 2014

HII SASA KALI:KIFAA CHAGUNDULIWA CHA KUZUIA MAGONYWA YA ZINAA


kifaa kitakachosaidia kupunguza kasi ya kupata magonjwa ya zinaa kimetenegenzwa huko nchini marekani. kifaa hicho ali maarufu kama "Scroguard" kitakuwa kinavaliwa pamoja na kondomu ili kumuwezesha mtua kuepuka kupata magojnwa ya zinaa kwasababu hapatakuwepo msuguano wa kati wa tendo la ndoa , upande mwingne wa shilingi kifaa hicho kinauwezo wa kusababisha sauti flani ambayo ianaweza sababisha wapenzi kufikia kileleni. Mambo ya tecknolojia hayo , sijui kifaa hicho kitafika Afrika lini .