LAANA:HUU NDIO UCHAFU UNAOFANYIKA KWENYE KICHENI PATI ZA USWAHILINI,NI FULL KUCHEZA UTUPU....
Hatarieeeeeeeeeeeeee hapo binti anatolewa ..Kibao kata ni sherehe za wanawake tuu ambapo hufanyiwa binti anapotaka kuolewa ….Basi huko ukibahatika kuingia utaona uchafu wote wa mauno….mmhh Kazi kweli kweli …Uswazi kuna mambozzzz