Sunday, October 5, 2014

MICROSOFT WAACHIA WINDOWS 10 PREVIEW KAMA UNATAKA KUIDOWNLOAD NA KUITUMIA BOFYA HAPA!!

Windows 10 Preview Has A Keylogger With Your Own Permission

Wiki hii Microsoft alitangaza toleo la jipya la window lijulikanalo kama windows 10, Windows 10  ndani yake ina  "Insider Programu" ili kukusanya maoni kutoka kwa watumiaji na kusaidia kubadili jinsi na muonekano wa toleo hilo kwa njia ya maoni na ushauri wa watu, lakini hali haikuwa kama jinsi ilivyo takiwa kwani insider program iliwajulisha macrosoft kuwa baadhi ya watu huwa hawasomi na kuzielewa 'term of services'  wanapita na kuitiki kuwa wamekubaliana nayo bila kusoma ni nini kilicho andikwa kutokana na kuwa ndefu kupita kiasi.

Ndani ya window hiyo  10 kuna keylogger ambayo itatumika kurekodi shughuli zotte za keyboard na touches device.vile vile hiyo keylogger sio kuwa tu itatumika kwaajili ya kurekodi bali vilevile itasaidia kufanya ubora wa program tutakazo tumia.,"kama utaitaji kutumia speech recognition basi itatusaidia sisi kuweza kuboresha matukio ya lugha itakayo tumia"alisema mmoja wawafanya kazi wa microsoft 


UKITAKA KUIDOWNLOAD NA KUITUMIA WINDOWS 10 PREVIEW BOFYA HAPA