Saturday, October 11, 2014

WEMA, JOKATE, LULU NDANI YA NGUO ZA PUNDAMILIA TAZAMA PICHA. JE NANI KAMFUNIKA MWENZIE?

Hii ni kama movie but sio movie ni wale
mahasimu watatu wanaogombea kiti cha Who is
real bongo star hapa tunawakutanisha mastar
hawa wakiwa katika matukio tofauti huku wakiwa
katika vazi la style moja.
Jokate, Wema na Lulu
Wema Sepetu , Miss Tzee 2006 aliye hot mpaka
sasa alitupia Zebra trouser na T-shirt ya black
akiwa katika harakati zake huko Hongkong , Diva
huyo CEO wa Endless fame alitupia nguo hizo huku
akiwa bize kuwahi ndege kurudi nchini baada ya
kutoka mapumzikoni, Vazi hilo limekuwa maarufu
sana kwa Mastaa hawa na sio umaarufu tu bali pia
kuwatoa vizuri miili yao na shepu zao kali
zinazosumbua hapa bongo.
Jokate, akiwa kama number tatu wa Wema katika
Miss Tzee 2006 nae mwanadada huyo mwenye
talent nyingi kiasi kwamba hata nyingine bado
hajazitoa hewani, ni musician as well as Actress
na pia ni mtangazaji, alitupia nguo hizo hizo na
kumtoa sex ile mbaya. lakini Jokate ambae ni rival
wa Wema Sepetu katika mambo mengi kuanzia
kwenye u-miss mpaka pale walipojikuta
wanachangia bwana mmoja kwani yeye alipiga suit
nyeusi na trouser kama ya mwanadada huyo.
Lulu , Foolish age star menye kila aina ya vituko
hapa tunakutana nae akiwa katupia the same
clothes lakini yeye katokelezea na gauni lenye
muonekano kama wa Jokate na Wema kwa
mtazamo wa haraka tu unawewza kugundua kama
nguo za rangi hizo zinawatoa vizuri sana.