Wananchi wakiwa wamejazana katika maeneo tofauti ya kuuzia magazeti ili kujua kilichotokea na kitakachotokea kuhusiana na wizi wa shilingi bilioni 306 za Escrow kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT).
Kuonyesha kwamba wengi wao walikuwa wanalifuatilia suala hili, ni jinsi walivyovamia meza za uuzaji wa magazeti kwa wingi ili kujua kilichotokea na nini kinatarajiwa kutoke