ULINZI ANAOPEWA NASIBU ABDUL 'DIAMOND PLATNUMZ' UNATISHA!!! INGIA HAPA UJIONEE...
Ulinzi anaopewa mkali wa Bongo fleva Bongo Nasib Abdul 'Diamond Platinumz' unatisha! katika picha hii Diamond akiwa katika tamasha la Serengeti Fiesta 2014 akiwa amezungukwa na walinzi wake.