MASIKINI BINTI AFARIKI DUNIA BAADA YA POWERBANK KUMLIPUKIA AKIWA USINGIZINI
Ni huzuni binti mmoja afariki dunia baada ya kulipukiwa na power bank akiwa amelala ambayo alikuwa ameiweka katika chaji na umeme ulikuwa umekatika na baada ya umeme kurudi ukaleta majangazi na kupatwa na umauti tuwe makini na kuchat au kuweka karibu vitu vya umeme na miili yetu .