maneno ya alikiba kwa mashabiki wake: Shout
outs na shukurani nyingi sana kwa support yenu-
kurequest nyimbo zangu kwenye redio na TV na
comments zenu on social media zangu. Nawaona
wote sema siwezi kuwajibu moja moja lakini
kiukweli nashukuru sana. Ijumaa Kareem. Shout
outs to you all! I see you commenting, requesting
for my songs on radio and TV, I see you - THANK
YOU!
MASOGANGE AZITOLEA UVIVU ACCOUNT FAKI MITANDAONI..ADAI SIO ZANGU