Saturday, January 3, 2015
DIAMOND PLATNUMZ AFUNIKA SIKU YA MWAKA MPYA KIGALI, RWANDA
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa amebebwa na wacheza shoo wake siku ya mwaka mpya Kigali, Rwanda.
Diamond Platnumz akifanya yake.
Nyomi ya kufa mtu waliofika siku ya shoo hiyo.
Akifanya yake na wacheza shoo wake.
M
fanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zarinah Hassan 'Zari' au 'The Boss Lady'
mpenzi mpya wa Diamond Platnumz akiwa katika pozi.
Muonekano wa siku ya shoo hiyo.
Diamond Platnumz (katikati) akifanya yake akiwa na Yamoto Bendi.
Newer Post
Older Post
Home