Wednesday, January 21, 2015

JUMBE NNE ALIZOZIDONDOSHA WOLPER ZAWAACHA WATU NJIA PANDA MTANDAONI!!

Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali  mtandaoni zenye maneno mazito  ambayo  yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stresi” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za kawaida tu na hakuna kinachomsibu.
MAPICHA:HUSSEIN MACHOZI AFUNGA NDOA KENYA, AMKIMBIA MKE
 Mrembo huyu alianza na hizi jana;

“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy**rising”

“A true friend never gets in your way unless you happen to be going down......”

Leo kaibuka na hizi;

“I don't regret the things I've done, I regret the things I didn't do when I had the chance...”

“There is only one thing makes a dream impossible to achieve the fear of failure.”

Wajuzi wa mambo ya kisaikolojia hebu mtusaidie hapa kunani? Kuna baadhi ya mashabiki wake wale "kindakindaki" wameniomba niilete hapa ili tuwasaidie wawe huru, kwani kwa sasa wapo……

Mzee wa Ubuyu Bongo Movies

PICHAZ: MTOTO WAKAJALA NI TISHIO KWA UZURI KWA VIBINTI VISTAA VYOTE HAPA BONGO